Baba yetu
Baba yetu uliye mbinguni
(*) He baba pokeya sala
A Jina lako lisifiwe (*)
B Mapenzi yako ya fanyiwe (*)
A Duniani kama mbinguni (*)
B Utupe leo chakula chetu (*)
A Utusamehe makosa yetu (*)
A Kama vile tunavyo wa sahame (*)
B Usituache navi chawishi (*)
A Alakini utu okowe (*)
Heri wenyi kusikiliza
Refrain
Heri wenyi kusikiliza
Neno lake mungu mwenyezi
Hakika wenyi kulishika
Wata ishi milele
Hakika wenyi kulishika
Wata ishi milele
Wata ishi milele
- Ndugu turegeze mioyo yetu
Kama hatutaki ku poteya
Tu funguwe masikiyo x2
(Heri) - Ndugu turegeze mioyo yetu
Kama hatutaki kupoteya
Tushukuru na hadabu
Tushukuru na mapendo
(Heri)
Nalingiyo
(Tsi – tsi tsi – tsi tsi) x2
Alala alala
Nalingiyo Kinshasa
Alala alala
Nalingiyo Afrika
Alala alala
Ja, ik hou van Afrika
Sema
Refrain
Sema neno lako
Ni anga zi wee
Nita kuwa wako x2
Leo mpaka milele
Maisha yangu
Yata kufaliya nini
Ukipoteza uzima kwa Bwana
Aya potezae
Kwa kunifata
Ataishi nami milele
Kwa Baba
(sema sema)
Sepela Maria
Refrain
Sepela,
Sepela Maria
Maria sepela,
Yo Mokonzi grasia ée
Sepela,
Sepala yo éé mwana wa bolingo Wa Nzambe
- Maria, mokonzi azali nayo o
Mama o sepela
Obanga té Maria
Nzambé asaliyo malamu
(ée mama sepela) - Maria okobota mwaaana
Mama o sepela
Na nguyaa ya elimu santu
Nzambé asaliyo malamu
(ée mama sepela) - Oko pesa ye kombo te Yeeezu
Mama o sepela
Ye azaliim wana wa nzaambe
Nzambé asaliyomalamu
(ée mama sepela)