CHORALE KARIBUNI

Baba yetu

Baba yetu uliye mbinguni
(*) He baba pokeya sala

A         Jina lako lisifiwe (*)
B         Mapenzi yako ya fanyiwe (*)
A         Duniani kama mbinguni (*)
B         Utupe leo chakula chetu (*)
A         Utusamehe makosa yetu (*)
A         Kama vile tunavyo wa sahame (*)
B         Usituache navi chawishi (*)
A         Alakini utu okowe (*)

Heri wenyi kusikiliza

Refrain
Heri wenyi kusikiliza
Neno lake mungu mwenyezi
Hakika wenyi kulishika
Wata ishi milele
Hakika wenyi kulishika
Wata ishi milele
Wata ishi milele

  1. Ndugu turegeze mioyo yetu
    Kama hatutaki ku poteya
    Tu funguwe masikiyo x2
    (Heri)
  2. Ndugu turegeze mioyo yetu
    Kama hatutaki kupoteya
    Tushukuru na hadabu
    Tushukuru na mapendo
    (Heri)

Nalingiyo

(Tsi – tsi tsi – tsi tsi) x2

Alala alala
Nalingiyo Kinshasa
Alala alala
Nalingiyo Afrika

Alala alala
Ja, ik hou van Afrika

Sema

Refrain
Sema neno lako
Ni anga zi wee
Nita kuwa wako         x2
Leo mpaka milele

Maisha yangu
Yata kufaliya nini
Ukipoteza uzima kwa Bwana
Aya potezae
Kwa kunifata
Ataishi nami milele
Kwa Baba
(sema sema)

Sepela Maria

Refrain
Sepela,
Sepela Maria
Maria sepela,
Yo Mokonzi grasia ée
Sepela,
Sepala yo éé mwana wa bolingo Wa Nzambe

  1. Maria, mokonzi azali nayo o
    Mama o sepela
    Obanga té Maria
    Nzambé asaliyo malamu
    (ée mama sepela)
  2.  Maria okobota mwaaana
    Mama o sepela
    Na nguyaa ya elimu santu
    Nzambé asaliyo malamu
    (ée mama sepela)
  3. Oko pesa ye kombo te Yeeezu
    Mama o sepela
    Ye azaliim wana wa nzaambe
    Nzambé asaliyomalamu
    (ée mama sepela)